Sunday, February 19, 2012

MSANII SIMON MWAPAGATA 'RADO' ATOA MSAADA KWA WATOTO BUGURUNI VIZIWI KWA KUSHIRIKIANA NA KAMPUNI YA STEPS ENTERTAINMENT!

Msanii wa filamu nchini Simoni Mwapagata (Rado) (kushoto) akitoa msaada wa vitu mbalimbali vikiwemo juice na biskuti kwa mtoto wa shule ya Buguruni Viziwi,Isack Ntira, Dar es salaam jana msaada huo umetolewa na msanii huyo kwa kushirikiana na kampuni ya Steps Entertainment kulia ni Ibrahim Mbena.
Msanii wa filamu nchini Simoni Mwapagata rado (kulia) akitoa msaada wa vitu mbalimbali vikiwemo juice na biskuti kwa watoto wa shule ya Buguruni, Viziwi Dar es salaam jana msaada huo umetolewa na msanii huyo kwa kushirikiana na kampuni ya Steps Entatainment.
Msanii wa filamu nchini Simoni Mwapagata (Rado) (kushoto) akitoa msaada wa vitu mbalimbali vikiwemo juice na biskuti kwa mtoto wa shule ya Buguruni Viziwi,Winni Niko, Dar es salaam jana msaada huo umetolewa na msanii huyo kwa kushirikiana na kampuni ya Steps Entatainment. (Picha na www.burudan.blogspot.com).

No comments:

Post a Comment