Sunday, February 19, 2012

THE HABARI.COM KUUENZI MUZIKI WA KALE!

Gazeti tando la Thehabari kwakutambua na kuuenzi muziki wetu wa zamani pamoja na kuwaenzi wanamuziki wenyewe imetengeneza ukurasa (website) ambayo itakuwa na miziki kibao ya zamani.

Kwawale wadau na wapenzi wa miziki ya zamani na mngependa kusikiliza tafadhali tembelea mtandao wa Thehabari.com yaani www.thehabari.com au BOFYA http://www.music.thehabari.com/

No comments:

Post a Comment