Friday, February 17, 2012

MROKI KUZIKWA KESHO KIJIJINI KWAKE UGWENO MSANGANENI!

Marehemu Amani Mroki Majengo (66) aliyefariki mapema wiki hii katika Hospitali ya KCMC mjini Moshi yanatarajia kufanyika kesho kijijini kwake Ugweno Msangani, wilayani Mwanga mkoani Kilimanjaro.


Amani Mroki alizaliwa Msangeni Ugweno mwaka 1946 na kufariki 2012, anatarajia kuzikwa jirani na kaburi la baba yake Majengo T. Nathan.


Nyote mnakaribishwa katika tafrija hii ya kumhifadhi ndugu yetu, jamaa yetu, baba yetu, kaka yetu, katika nyumba yake hadi pale atakapokuja kunyakuliwa arudipo Bwana Yesu.


Taarifa zaidi:
Loyd Atenaka: 078434482
Zakaria Ernest 0754382583.....

No comments:

Post a Comment