Friday, February 17, 2012

MAKAMU WA RAIS DKT BILAL ATEMBELEA SHUGHULI ZA UCHIMBAJI WA MAKAA YA MAWE RUANDA (W) MBINGA!

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisikiliza maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Kampuni ya uchimbaji Makaa ya Mawe, Tancoal,
Graeme Robertson, wakati alipotembelea mradi wa Uchimbaji Makaa ya Mawe unaoendelea eneo
la Ruanda Wilaya ya Mbinga, wakati akiwa katika ziara yake ya mkoa wa Ruvuma jana Februari
16, 2012.

16, 2012. Picha na Muhidin Sufiani-OMR

No comments:

Post a Comment