Friday, February 3, 2012

JK katika siku ya Sheria, akutana na viongozi wa NGO ikulu

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikutana na viongozi wa Baraza la Taifa la NGOs Ikulu jijini Dar es salaam leo January 3, 2012 kuzungumzia mchakato wa Katiba

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisikia mapendekezo ya Baraza la Taifa la NGOs Ikulu jijini Dar es salaam leo January 3, 2012 kuzungumzia mchakato wa Katiba

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisikia mapendekezo ya Baraza la Taifa la NGOs Ikulu jijini Dar es salaam leo January 3, 2012 kuzungumzia mchakato wa Katiba
 
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiangalia kalenda aliyozawadiwa na Jaji Mkuu Mh. Mohamed Chande Othman baada ya kuhutubia katika Siku ya Sheria Tanzania jijini Dar es salaam leo January 3, 2012

  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisikia mapendekezo ya Baraza la Taifa la NGOs Ikulu jijini Dar es salaam leo January 3, 2012 kuzungumzia mchakato wa Katiba
 
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiuhtubia katika Siku ya Sheria Tanzania jijini Dar es salaam leo January 3, 2012

No comments:

Post a Comment