Monday, February 13, 2012

KIKAO CHA NEC CCM KILIVYOMALIZIKA KWA AMANI DODOMA

 Mwenyekiti wa CCM, Rais Kikwete akiwasili ukumbini kuenesha kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM jana kwenye ukumbi wa Sekretarieti, Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma. Kushoto Mwenyekiti wa CCM Mstaafu Ali Hassa Mwinyi, Rais wa Zanzibar Dk. Ali Mohamed Sheni na Makamu Mwenyekiti wa CCM (Zanzibar) Amani Abeid Karume. Kulia ni makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Pius Msekwa na Katibu Mkuu wa CCM Wilson Mukama.


Mwenyekiti wa CCM, Rais Kikwete akisisitiza jambo kwenye kikao hicho. Kushoto ni Rais wa Zanzibar Dk. Sheni na Makamu Mkt (Zanzibar) Amani Karume
 
Kikwete, Mukama na Msekwa wakifurahia jambo kikaoni

 Wajumbe wa NEC kutoka Tanzania Bara wakiunga mkono marekebisho ya Katiba ya CCM yaliyopitishwa na NEC


 Rais Kikwete, Mukama na Msekwa wakiunga mkono marekebisho ya Katiba ya CCM







Wajumbe wa Zanzibar wakiunga mkono marekebisho ya Katiba mpya ya CCM

Rais Kikwete akijenga hoja katika mkutano huo
 
 Mwenyekiti Mstaafu wa CCM, Ali Hassan Mwinyi akifurahia jambo wakati wa kikao cha NEC mjini Dodoma juzi


Katiu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akizungumza na waandishi wa habari mjini Dodo,ma kuhusu yaliyojiri kwenye kikao hicho (Picha zote na Bashir Nkoromo).






No comments:

Post a Comment