Monday, February 13, 2012

wasanii warudi kijijini wajenga kijiji cha Mwanzega Kimbiji Tarafa ya Mkuranga Chingungweni Mkoa wa Pwani

Mwenyekiti wa Mtandao wa wasanii Tanzania (SHIWATA) Cassim Taalib akiwa pamoja na viongozi wa mtandao huo walipokwenda kuangalia ujenzi wa nyumba zai katika kijiji cha Mwanzega Kimbiji Tarafa ya Mkuranga Mkoa wa Pwani jana. 

Waandishi wa Habari za michezo  kutoka katika vyombo mbalimbali   vya habari nchini wakitembea kwa ajili ya kwenda kuangalia ujenzi unaoendelea wa nyumba zao katika kijiji cha Mwanzega Kimbiji Tarafa ya Mkuranga Mkoa wa Pwani jana Kulia ni Tom Chilala, Kibwana Dachi na Kikumbi Mwanza mpango 'king kiki'wa habari za michezo pamoja na wasanii, wakitembea kwa ajili

Mwenyekiti wa Mtandao wa Wasanii Tanzania (SHIWATA) Cassim Taalib (kulia) akiwa na wajumbe pamoja na Viongozi wa mtandao huo walipokwenda kuangalia ujenzi unaoendelea wa nyumba zao,katika kijiji cha Mwanega Kimbiji Tarafa ya Mkuranga Chingumgweni Mkoa wa Pwani jana.
 
No comments:

Post a Comment