Katibu wa zamani wa CCM mkoa wa Dar es Salaam, Shaaban Klumbe Ng'enda (kulia) akikabidhi baadhi ya vifaa vya kazi kwa Katibu mpya wa CCM wa mkoa huo, Abilah Mihewa, wakati wa makabidhiano rasmi ya Ofisi leo katika Ofisi ya CCM mkoa wa Dar es Salaam. Kilumbe alivuliwa madaraka na NEC mjini Dodoma mapema mwezi huu.
No comments:
Post a Comment