Sunday, December 25, 2011

MERRY CHRISTMAS WASOMAJI & MASHABIKI WOTE WA Theeastafrica Blog!

Uongozi wa Blog yako ya Jamii ya Theeastafrica.Blogspot.com inawatakiwa wasomaji, watembeleaji, wapenzi na wale wanaopita hapa kwa ajili ya kuchukua habari, picha na matukio mbalimbali sikukuu njema ya kuzaliwa kwa Masihi Yesu Kristo.

Tunaomba ushirikiano huu mliouonesha kwa kipindi hiki chote tangu blog hii ilipoanzishwa uendelezwe na kama ilivyo kawaida yetu tutaendelea kuzipokea na kuzitumia habari na matukio mtakayotutumia!

Asanteni na tushukuru kwa yote, MERRY CHRISTMAS ALL, NAWAPENDA SANA!

No comments:

Post a Comment