Bondia wa kike Asha Nzoa akishangilia baada ya kutangaza msindi kwa kumtwanga mpinzani wake Slma Kihobwa katika mpambano wa utangulizi kabla ya Mohamedi Matumla na Cosmas cheka awajapanda ulingoni jana katika uwanja wa Jamuhuri Morogoro.
Asha Nzoa kushoto akioneshana ufundi wa kutupa masumbwei na Salma Kihobwa.
Mohamed Matumla Kuichoto na Cosmas Cheka wakioneshana uwezo wa kutupa Masumbwi.
Mgeni Rasmi Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Joel Bendera akikingiana ngumi na Rais Wa PST Emanuel Mlundwa kabla ya kuanza kwa mpambano huo.
No comments:
Post a Comment