Wednesday, January 18, 2012

KOZI YA UKOCHA WA MASUMBWI KIMATAIFA YAANZA LEO KIBAHA MKOA WA PWANI!


Kocha wa Mchezo wa Ngumi Rajabu (Super D) kulia akibadilishana mawazo na mkufunzi wa makocha wa Masumbwi wa kimataifa Josef Diouf kutoka Shirikisho la Dunia la mchezo wa ngumi (AIBA) katikati ni Katibu Mkuu wa BFT, Makore Mashaga.
Baadhi ya makocha mbalimbali kutoka mikoa ya TAnzania Bara wakiwa katika kozi hiyo iliyoanza kibaha leo.(Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com).

No comments:

Post a Comment