Monday, December 5, 2011

SHUHUDIA ZIARA YA KATIBU MKUU WA CCM WILSON MUKAMA BERLIN UJERUMANI!

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Wilson C. Mukama akiwa katika mazungumzo rasmi na Mh. Karin Roth, Mbunge anaewakilisha Chama cha SPD na Katibu wa Mambo ya Nje wa SPD Belin, Ujerumani.

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Wilson C. Mukama akiwa katika mazungumzo na Dr. Barbel Kofler, Mbunge wa Chama cha SPD.

No comments:

Post a Comment