Monday, December 5, 2011

WAZIRI MEMBE AKABIDHI TIKETI YA NDEGE KUTOKA DSM HADI DUBAI KWA WASHINDI PROMOSHENI YA UBALOZI WA FALME ZA KIARABU!

“Minister for Foreign Affairs and International Co-operation Hon: Bernard Membe presents an Economy class return ticket from Dar es Salaam - Dubai to one of the two lucky winners at a celebration hosted on Friday by the Embassy of the United Arab Emirates together with Emirates Airline to mark the country's 40 years anniversary. Looking on is Emirates country manager Abdul Aziz Al Hai."

“Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mh. Bernard Membe akikabidhi tiketi ya daraja la economy ya kutoka Dar es salaam kwenda Dubai na kurudi kwa mmoja wa washindi waliobahatika katika hafla iliyofanyika hivi karibuni katika Ubalozi wa Falme za Kiarabu kwa kushirikiana na shirika la ndege la Emirates katika kusherekea kumbukumbu ya miaka 40 ya uhuru wa nchi yao. Anayeshuhudia pembeni ni Meneja wa Emirates Tanzania Bwana Abdul Aziz Al Hai.

No comments:

Post a Comment