Serikali imeiagiza Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Maji EWURA kuwachukulia hatua ama kuwafikisha kortini wafanyabiashara wa bidhaa ya mafuta ya Petroli ambao wanakiuka taratibu za uuzaji wa bidhaa wakati inaposhuka na kupanda.
Akizungumza na wamiliki wa vituo vinavyouza bidhaa hiyo,Waziri wa Nishati na Madini WILLIAM NGELEJA amesema sheria inaruhusu na iko wazi kwa kuwachukulia hatua wamiliki hao ambao wanakataa kuuza mafuta ya Petroli bei inaposhuka na kusubiri hadi bei itakapopanda.
No comments:
Post a Comment