Sunday, November 27, 2011

MAHAFALI YA PILI YA CHUO KIKUU CHA DODOMA YAFANA!


Baadhi ya Viongozi Chuo Kikuu Cha Dodoma Wakiwa Tayari Kwenye Maandamo Kuelekea Kweo kwenye Mahafali ya Pili Ya Chuo Kikuu Cha Dodoma Leo.
Brass Band kutoka Jeshi la Polisi likiongoza maandamano ambayo yalikua yakielekea kwenye sehemu ya mahafali.
Msafara wa Mkuu Wa Chuo Kikuu Cha Dodoma Mh Benjamni William Mkapa Ukiwa unaingia Kwenye Viwanja Vya Chuo Kikuu Cha Dodoma Tayari kwa kuwatunuku Wahitimu.

No comments:

Post a Comment