Serikali imekiri kukabiliwa na changamoto mbalimbali ikiwemo upungufu wa wataalam wa Maendeleo ya Jamii katika ngazi ya kata huku mila potofu nazo zinaendelea kuchangia kuleta madhara kwa wanawake na watoto.
Akifungua Maonyesho ya Miaka 50 ya uhuru, Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Bi SOPHIA SIMBA amesema uelewa mdogo wa jamii katika masuala ya haki na usawa wa kijinsia ndio chanzo cha ukatili dhidi ya wanawake na watoto.
No comments:
Post a Comment