Wafanyakazi wa Kampuni ya Majembe Auction Mart wameendesha zoezi la utoaji wa vifaa nje ya Ofisi ya Afisa Mtendaji wa Kata ya Kariakoo, Manispaa ya Kinondoni, Jijini Dar es salaam, kufuatia kudaiwa kodi ya pango zaidi ya Milioni Sabini.
Wakizungumza na kituo hiki kwa nyakati tofauti Mashuhuda wa tukio hilo wamesema hali hiyo inaonyesha kuwa wahusika wamekaa muda mrefu bila ya kulipa kodi hiyo hatua iliyosababisha kutolewa kwa vifaa nje ya Ofisi hiyo.
No comments:
Post a Comment