Sunday, October 16, 2011
DEO NJIKU AJIANDAA KUMKABILI JONAS SEGU WIKI IJAYO!
Kocha wa Mchezo wa ngumi, Boma Kilangi (kushoto) akimsimamia mazoezi bondia Deo Njiku wa Morogoro wakati wa mazoezi yake ya kujiandaa na mpambano wake wa ubingwa zidi ya Jonas Segu wa Dar es Salaam litakalofanyika Uwanja wa Jamuhuri Morogoro wiki ijao.
Bondia Deo Njiku akifanya mazoezi ya misuri ya tumbo kwa kutumia viaa vya kisasa kwa ajili ya kujiandaa na mpambano wake wa ubingwa zidi ya Jonas Segu wa Dar es Salaam litakalofanyika Uwanja wa Jamuhuri Morogoro wiki ijao.(Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com).
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment