Imeelezwa kuwa wafugaji wadogo wadogo nchini wanashindwa kufuga kitaalam kutokana na kukosa elimu ya ufugaji bora na wakisasa kutoka kwa wataalam wa mifugo na kusababisha waendelee kutumia njia za kienyeji.
Mmoja wa wafugaji hao kutoka Kijiji cha Marangu Mkoani Kilimanjaro, Bwana BABUELI LIMO amesema ufungaji wa kutumia njia za kienyeji kwao hauna tija na kusababisha wasinufaike na kudai kuwa Wataalam hufika eneo hilo pindi wawaletapo wageni.
No comments:
Post a Comment