Sunday, August 28, 2011

TIMU YA NGUMI YA TAIFA YAENDA MSUMBIJI KWENYE MASHINDANO YA 'ALL AFRICA GAME' LEO!

Mabondia, Makocha pamoja na viongozi wa mchezo wa ngumi nchini wakiangalia DVD zinazotayarishwa  na Kocha wa mchezo wa ngumi timu ya Ashanti na Timu ya Mkoa wa Ilala kimichezo, Rajabu Mhamila 'Super D' hayupo pichani ambazo zinafundisha mafunzo ya mchezo huo kabla ya kuondoka kwenda Msumbiji kushirika Mashindano ya 'ALL AFRICA GAME' yatakayoanza mapema mwezi ujao. Timu hiyo ni ya kwanza kwa Tanzania kuondoka leo. (Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com).

No comments:

Post a Comment