Kampuni ya MSAMA PROMOTION imeendelea na zoezi lake la kuwakatama wauzaji haramu wa kazi za wasanii ambapo kazi nenye thamani ya zaidi ya milioni Ishirini zimekamatwa katika maeneo ya Ubungo jijini Dar es Salaam.
Akizungumza jijini Dar es Salaam Mkurugenzi wa kampuni hiyo ALEX MSAMA amesema wamefanikiwa kuwakamata watuhumiwa watatu wakiwa na CD za wasanii mbalimbali wakiwa tayari kwenda kuziuza.
No comments:
Post a Comment