Friday, July 22, 2011

VODACOM TANZANIA YADHAMINI MAONESHO YA KITAIFA YA NANENANE DODOMA!

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhandisi Pius Msekela (Kulia) akipokea simu 20 na Tshirt 300 na fedha taslimu shilingi milioni 15/- zitakazotumika kwa ajili ya mawasiliano na maandalizi ya Maonesho ya Nanenane mwaka huu kutoka kwa Meneja Mauzo wa Vodacom Tanzania kanda ya kati Macfaydyne Minja. Anayeshuhudia ni Atilia Lupala ambaye ni Mkuu wa kanda ya Pwani wa kampuni hiyo.
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhandisi Pius Msekela (Wa pili Kulia) akiangalia ubora wa simu 20, Tshirt 300 na fedha taslimu shilingi milioni 15/- alizopokea kutoka kwa Meneja Mauzo wa Vodacom Tanzania kanda ya kati Macfaydyne Minja zitakazotumika kwa ajili ya mawasiliano na maandalizi ya Maonesho ya Nanenane mwaka huu. Anayeshuhudia (Katikati) ni Atilia Lupala ambaye ni Mkuu wa kanda ya Pwani wa kampuni hiyo na kulia ni Dk Samson Muniko Katibu wa Taso kanda ya kati .
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhandisi Pius Msekela ( Kulia) akimsikiliza Mtaalam wa Masuala ya Habari wa Vodacom Tanzania Matina Nkurlu (Wa pili kushoto) wakati wa hafla ya makabidhiano wa simu 20, Tshirt 300 na fedha taslimu shilingi milioni 15/- zitakazotumika kwa ajili ya mawasiliano na maandalizi ya Maonesho ya Nanenane mwaka huu. Wengine ni Meneja Mauzo wa kampuni hiyo kanda ya kati Macfaydyne Minja (Kushoto) na Atilia Lupala ambaye ni Mkuu wa kanda ya Pwani .
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhandisi Pius Msekela ( Kulia) akiteta jambo na Wafanyakazi wa Vodacom Tanzania (Kutoka kushoto) na Meneja Mauzo kanda ya kati Macfaydyne Minja, Atilia Lupala ambaye ni Mkuu wa kanda ya Pwani na Mtaalam wa Masuala ya Habari wa Vodacom Tanzania Matina Nkurlu wakati wa hafla ya makabidhiano ya simu 20, Tshirt 300 na fedha taslimu shilingi milioni 15/- zitakazotumika kwa ajili ya mawasiliano na maandalizi ya Maonesho ya Nanenane mwaka huu. (Picha kwa Hisani ya Vodacom.)

No comments:

Post a Comment