Mkurugenzi wa Nyina Enterprises Textile SARA NYAMBACHA ambaye anashiriki maonesho hayo kupitia banda la watu wasiojiweza kupitia udhamini wa Wizara ya Viwanda na amesema kutokana na mabadiliko ya kila mwaka kupitia mafunzo mbalimbali wameweza kukuza kiwango cha biashara zao.
Kwa upande wake BONIFACE MINJA ambaye ni mshiriki kupitia SAMABO Mirror Enterprises ya Arusha amesema katika maonesho ya mwaka huu wameboresha kiwango cha bidhaa wanazozionesha ili kukidhi matakwa ya wateja.
No comments:
Post a Comment