Sunday, October 23, 2011

DK ALEX MALASUSA AWEKA JIWE LA MSINGI NA KUONGOZA HARAMBEE YA UJENZI WA KANISA LA KKKT USHARIKA WA KINONDONI!

Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania ( KKKT), Dk. ALEX MALASUSA, amewataka wananchi kujali maendeleo ya watu wengine na kudai kuwa hatua hiyo itaepusha kwa kiasi kikumbwa uvunjifu wa amani Duniani.
Akizungumza wakati wa Sherehe za Uwekaji wa Jiwe la Msingi katika Kanisa la KKKT, Usharika wa Kinondoni, Jijini Dar es salaam, Dk. MALASUSA, amesema kuna baadhi ya watu wako tayari kupoteza maisha ya watu wengine kutokana na kutojali maendeleo yao na kubainisha kuwa kuna baadhi ya wanafamilia hawapendani kutoakana na hali hiyo.

No comments:

Post a Comment