NKOROMO DAILY BLOG INAWAWISH MASHABIKI WAKE HERI YA MWAKA MPYA 2012!
Mtayarishaji Mkuu wa Nkoromo Daily Blog kwa dhati kabisa anakutakia heri na fanaka ya mwaka mpya wa 2012. Bila shaka 1-1-1 ilipoanza kuhujua kama 2011 utaumaliza. Lakini baada ya kupambana na changamoto za hapa na pale huku ukipata na tumafanikio kiasi, kwa nguvu za Mwenyezi Mungu leo umeanza 1-1-2. HONGERA SANA!
No comments:
Post a Comment