Kambi ya Upinzani imewasilisha rasimu ya mpango wa Maendeleo wa Serikali kwa kuweka vipaumbele kadhaa vilivyojadiliwa katika Bunge la Bajeti ya Mwaka 2011/12.
Ambapo katika rasimu hiyo kambi ya upinzani imelitaka Bunge lifanye kazi zake kikamilifu pia serikali iwe na utamaduni wa kuheshimu maoni ya wabunge iliyaweze kuingizwa katika mpango huo.
Msemaji wa Kambi hiyo Israel Yohana Natse ambae pia ni mbunge wa karatu kupitia CHADEMA amesema hakuna taifa lolote lililopata maendeleo ya haraka kwa kutumia lugha za kigeni katika kuandaa rasimu za mipango ya maendeleo.
No comments:
Post a Comment