Tuesday, May 29, 2012

UZINDUZI RASMI WA TAWI LA CHADEMA WASHINGTON DC NA VIONGOZI WA JUU WA CHADEMA!

Uongozi wa juu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) katika uzinduzi rasmi watawi la Chadema Washington Dc kwenye meza ya juu wa kwanza kushoto Libe Mwangombe, akifatiwa na Mhe. Peter Msigwa, Mwenyekiti wa tawi Mhe. Kalley Pandukizi, Mhe. Zitto Kabwe, na Mhe. Nassari Joshua, Dogo Janja, mkutano huo ulifanyika kwenye ukumbi wa Mirage Hall uliopo University Of Bld, Hysattsville, Maryland Nchini Marekani.
             Mhe. Leticia Nyerere akiwa kwenye uzinduzi wa watawi la Chadema Washington Dc
Wantazania waishio DMV Nchini Marekani wakiwa katika uzinduzi wa tawi la chadema Washington DC
         Baadhi ya wakereketwa wachukua kadi baada ya uzinduzi wa tawi la chadema Washington.

No comments:

Post a Comment