Tuesday, June 7, 2011

DK MAGUFULI ATAKA WANANCHI WASIWE NA DHANA POTOFU JUU YA WAKANDARASI WALIOMALIZA KAZI NA KUBAKI KWENYE MAENEO YAO!

Waziri wa Ujenzi DK JOHN MAGUFULI amesema wananchi wasiwe na dhana potofu wanapowaona wakandarasi waliomaliza kazi wakiendelea na ujenzi katika maeneo yao kwani wana kibali cha kufanya hivyo kwa kipindi cha mwaka mmoja hadi mitatu.

Akijibu swali la Mbunge wa Viti Maalumu kwa tiketi ya Chadema, PAULINA GEKUL lililohoji kitendo cha mkandarasi aliyepewa zabuni ya kutengeneza barabara ya Singida hadi Manyoni kuendelea kuchimba kokoto wakati amekabidhi kazi,


Akijibu swali hilo Waziri MAGUFULI amesema anachokifanya mkandarasi huyo ni kukarabati maeneo yaliyoharibika mpaka yatakapotengamaa.

No comments:

Post a Comment