Monday, May 28, 2012

MAMA ASHA BILAL AKIZUNGUMZA NA WATANZANIA WANAOISHI BOTSWANA!

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Mohammed Gharib Bilal akizungumza na Makamu wa Rais wa For Conervation Policy kulia na Waziri wa Fedha wa Kenya Mhe. Robinson Njeru baada ya kumalizika kwa mkutano wa siku mbili kwa wakuu wa nchi za Afrika kuhusu maendeleo endelevu kwa nchi za bara la Afrika uliomalizika mjini Gaborone Botswana.
Mke wa Makamu wa Rais Mama Asha Bilal akizungumza na Watanzania wanaishi Nchini Botswana.
 Mke wa Makamu wa Rais Mama Asha Bilal akizungumza na Watanzania wanaishi Nchini Botswana.

No comments:

Post a Comment