Monday, January 9, 2012

MKAPA AREJEA NCHINI, APOKEWA NA KATIBU MKUU WA CCM!

Mwenyekiti mstaafu wa CCM, Rais Mstaafu Benjamin Mkapa akikaribishwa na Katibu Mkuu wa CCM, WIlson Mukama alipowasili leo Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam, akitokea nchini Afrika Kusini ambako alimwakilisha Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete kwenye Maadhimisho ya miaka 100 ya Chama cha ANC nchini humo. Katikati ni Mama Anna Mkapa. (Picha na Bashir Nkoromo).

No comments:

Post a Comment