Sunday, November 20, 2011

MOTISHA KWA WAFANYAKAZI WA VODACOM!

Mfanyakazi wa Idara ya Udhibiti wa Mapato ya kampuni ya Vodacom Tanzania Maka Mwalwanda (kulia) akiwa ameshikilia kikombe cha zawadi ya kwanza ya makusanyo mazuri ya mapato kwa mwezi wa tisa kutoka kwa wateja wa malipo ya baada. Kushoto kwake ni Joseph Kyula aliyepata zawadi ya mshindi wa tatu. Mbali na vikombe watumishi hao walipatiwa pia zawadi ya fedha taslimu kama motisha ya kazi nzuri.

No comments:

Post a Comment