Sunday, March 25, 2012

MIKUTANO WA KAMPENI ZA CCM KATA YA SONGORO ARUMERU!


Asiera Jacob mwenye umri wa miaka 78 wa Kijiji cha Sura kata ya Songoro, akifuatilia kwa makini hotuba katika mkutano wa kampeni za kumnadi mgombea wa CCM Sioi Sumari kwenye kijiji hicho jana.(picha zote na Bashir Nkoromo)
Mfugaji katika kata ya Songoro ambaye jina halikupatikana mara moja akishangilia CCM wakati msafara wa mgombea wa chama hicho Sioi Sumari ulipopita katika kata hiyo.
Sioi (watatu kushoto) na mratibu kampeni za CCM jimbo la Arumeru Mashariki Mwigulu Ncheba (wapili kushoto)wakitoka kukagua ujenzi wa kituo cha afya cha Mulala Kata ya Songoro jimboni humi, baada ya kuahidi kumalizia ujenzi wa kituo hicho katika mkutano wa kampeni.
Mjumbe wa NEC Oganaizesheni CCM, Asha Abdallah Juma akihutubia mkutano wa kampeni kijiji cha Sura.
                Sioi akihutubia Sura village na wazee wanaonekana wakimsikiliza kwa umakini mkubwa!

No comments:

Post a Comment