Sunday, October 9, 2011

VIDA MAHIMBO NEW LINE SASA KUPATIKANA FUCHSIA @ GOLDEN TULIP HOTEL.

                            Wateja kutoka mataifa mbalimbali wakishangaa ubunifu wa Vida Mahimbo.
                                        Mmoja wa Wateja akishine na Ubunifu wa Vida Mahimbo.
Mdau wa Masuala ya Fashion na Mavazi ambaye pia ni Mkurugenzi wa Masoko wa Karshima Fashion Group Ltd. Ayesha Samji sambamba na wateja wa Nguo za Vida Mahimbo.
                             Mmoja wa wateja katika vazi la Khanga lililobuniwa na Vida Mahimbo.
Vida Mahimbo katika picha ya pamoja na familia yake. Kushoto ni Mama yake Bi. Edna Mahimbo, Dada yake Sophia pamoja na mtoto Abigael.

No comments:

Post a Comment