Sunday, October 9, 2011

JINAMIZI LA AJALI BADO LALINYEMELEA JIJI LA MBEYA!

Ajali hii imetokea meneo ya Nane nane  jijini Mbeya jana usiku inasemekana dereva alipitiwa na usingizi na alikuwa katika mwendo kasi ndipo lilipoacha njia na kuparamia mti mpaka sasa mmiliki wa gari wala dereva wawajapatikana.
                         Upande mmoja wa gari hilo kama unavyoonekana baada ya kupata ajali hiyo.
                             Huu ndio upande ambapo gari lilienda kugonga kwenye mti na kupata ajali.
Askari wa kikosi cha usalama barabarani Jijini Mbeya akikagua gari hilo lililopata ajali katika eneo la Nanenane. Picha kwa Hisani ya Mbeya Yetu.

No comments:

Post a Comment