Monday, September 5, 2011

VODACOM MISS TANZANIA 2010-2011 NA MISS AFRICA 2004 WATOA MSAADA TANDALE!

Vodacom Miss Tanzania Genevieve Mpangala na Miss Africa 2004 Cynthia Kanema ambae ni mgeni rasmi katika show ya Vodacom Miss talent leo katika hotel ya Giraffe wakikabidhi msaada wa vyakula mbalimbali kwa Kuruthumu Yusuph ambae ni Mlezi wa kituo cha kulelea watoto yatima wa kituo cha Al-madina kilichopo Tandale jijini Dares salaam.

Miss Africa 2004 Cynthia Kanema (kushoto)ambae ni mgeni rasmi katika show ya Vodacom Miss talent leo itakayofanyika Giraffe Hotel leo na Mlezi wa kituo cha kulelea watoto yatima wa kituo cha Al-madina kilichopo Tandale wakimsikiliza Mkuu wa Itifaki wa kamati ya Miss Tanzania Bw.Albert Makoe kulia akifafanua jambo wakati wa makabidhiano wa msaada wa vyakula mbalimbali kwenye kituo hicho.
Baadhi ya warembo wanaoshiriki katika shindano la Vodacom Miss Tanzania 2011 wakiwa wamewabeba baadhi ya watoto yatima wa kituo hicho mara baada ya kufika kituoni hapo kwa lengo la kutoa msaada wa vyakula mbalimbali.

No comments:

Post a Comment