Friday, August 26, 2011

UPEKUZI UNAENDELEA.....LETA TRL, LESENI YA UDEREVA, BIMA, PIGA HONI PLZ ETC!

Msimu wa sikukuu ya Eid El Fitri umekaribia. Athari zake ni nyingi kuliko faida. Unaona tukio hili...kwa waendesha Pikipiki japo wamekuwa wakihakikishiwa usalama wao wawapo Barabarani lakini ukaguzi kwa upande wao umekuwa kero sasa. Ukiachana na wanausalama hawa wa raia wale waliopewa jina la Tigo ndio kabisa hawaachi hata mfupa. Yote kwa yote leo ni Ramadhani 26 na zimebaki siku nne tu kumalizika kwa mwezi Mtukufu wa Ramadhani. Theesatafrica Blog inawatakia maandalizi mema ya EID EL IFTAR! PICHA NA SAID KHAMIS.

No comments:

Post a Comment