Sunday, May 15, 2011

KAMPUNI YA PROCTER AND GAMBLE YA NCHINI KENYA YAZINDUA RASMI SABUNI MPYA YA UNGA YA ARIEL!

Mkurugenzi wa Maendeleo ya Watoto kutoka Wizara ya Maendeleo ya Jamii Jinsia na Watoto Bi. Tukae Njiku akizindua rasmi sabuni mpya ya unga ya Ariel inayotengenezwa na kampuniya Procter and Gamble ya nchini Kenya katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam, kulia kwake ni Meneja Mkuu wa kampuni ya usambazaji sabuni hiyo ya Mek-One general Traders, Bw Bhaudin Jainuddin.

No comments:

Post a Comment