Thursday, February 16, 2012
MZEE YUSUF AKARIBISHWA VALENTINE'S DINNER NA KUTUNIKIWA ZAWADI NYUMBANI KWA MISSY TEMEKE!
Angalia Video ya Mwimbaji wa Jahazi Modern Taarab, Mzee Yusuf, alivyokaribishwa rasmi valentines dinner, nyumbani kwa Missy Temeke, akishirikiana na Sophia Mmombasa, Salama Salma Jay Jay, Auntie Waheeda Margaret Gathesha, na Baadhi ya mabanati wa Wasington DC na kutunukiwa zawadi mbali mbali na wakaazi wa MD kwa hisani kubwa ya kutumbuiza siku ya Jumamosi ya Feb 5, 2012 ndani ya Washington DC Nchini Marekani. Daima tutamkumbuka Mzee Yusuf Al-batwa!! http://swahilivilla.blogspot.com/
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
SHKRANA SANA KAMANDA
ReplyDelete