Thursday, February 16, 2012

MASHINDANO YA KUCHAGUA MABONDIA WATAKAOIWAKILISHA TAIFA KATIKA MASHINDANO YA KIMATAIFA YALIVYOKUWA!

Bondia Fabiani Gaudence (kushoto) akioneshana ufundi wa kutupa masumbwi na iddi Pialali wakati wa mashindano ya kuchagua mabondia watakaowakirisha taifa katika mashindano ya Kimataifa yanayotaraji kufanyika hivi karibuni Gaudence alishinda kwa point.(Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com).
Bondia Peter Stanley (kushoto) akioneshana ufundi wa kutupa masumbwi na Doto Shoka wakati wa mashindano ya kuchagua mabondia watakaowakirisha taifa katika mashindano ya Kimataifa yanayotaraji kufanyika hivi karibuni Stanley alishinda kwa K.O ya raundi ya pili.  (Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com).

No comments:

Post a Comment