Wednesday, February 1, 2012

JK akutana na Rais wa Mahakama ya Haki za za Binadamu, arejea Dar Jumanne Usiku


Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimsindikiza Rais wa Mahakama ya Haki za Binadamu ya Afrika Jaji Gerald Miyungeko, aliyemtembelea jana baada ya kikao cha 18 cha Umoja wa Afrika jijini Addis Ababa, Ethiopia.


Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Rais wa Mahakama ya Haki za Binadamu ya Afrika Jaji Gerald Miyungeko aliyemtembelea jana baada ya kikao cha 18 cha Umoja wa Afrika jijini Addis Ababa, Ethiopia.wengine ni Makamu wa Rais wa Mahakama hiyo Jaji Sophia Akufo (wa pili kulia) na Jaji Nwanuri.


RAis Jakaya Mrisho Kikwete akipokewa na Makamu wa Kwanza wa Rais Dr Mohamed Gharib Bilali na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Bw Saidi Meck Sadiki.


 


No comments:

Post a Comment