Rais Jakaya Kikwete akimuapisha Dkt James Msekela kuwa balozi wa Tanzania Italy leo Ikulu jijini Dar es salaam. |
Rais Jakaya Kikwete na Makamu wa Rais Dkt Mohamed Ghalib Bilali wakishuhudia Mawaziri wa ulinzi wa Msumbiji Bw Filipe Jacinto Nyarusi (shoto), wa Tanzania Dr Hussein Mwinyi (wa pili kushoto), na wa Afrika Kusini DKT L.N. Sisulu wakitiliana saini ya mkataba wa makubaliano (moU) katika mapambano dhidi ya maharamia kati ya nchi zao. |
Rais Jakaya Kiwete akizungumza katika hafla hiyo. |
Rais Jakaya Kikwete akimkabidhi nyenzo za kazi Dkt James Msekela baada ya kuapishwa leo kuwa balozi wa Tanzania Italy. |
No comments:
Post a Comment