Thursday, February 9, 2012

JK akutana na Naibu wa Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Johnnie Carson na ujumbe wake leo Ikulu, Dar

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Bw. Johhnie Carlson na Ujumbe wake walipomtembelea Ikulu jijini Dar es salaam leo January 9, 2012  

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Bw. Johhnie Carlson na Ujumbe wake pamoja na waziri wa Nishati na Madini Mh Williuam Ngeleja walipomtembelea Ikulu jijini Dar es salaam leo January 9, 2012

 Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Bw. Johhnie Carlson alipomtembelea Ikulu jijini Dar es salaam leo January 9, 2012

Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Bw. Johhnie Carlson alipomtembelea Ikulu jijini Dar es salaam leo January 9, 2012

No comments:

Post a Comment