TIMU YA TAIFA YA NGUMI YAENDELEA NA MAZOEZI!
Kocha wa timu ya taifa ya mchezo wa ngumi, Edward Lyakwipa (kushoto) akimwelekeza bondia, Mohamed Abdul jinsi ya kuikwepa ngumi uku ukiwa kwenye gadi wakati wa mazaoezi ya kambi hiyo iliyopo uwanja wa ndani ya taifa Dar es salaam.
Baadhi ya mabondia wa timu ya taifa ya Masumbwi wakifanya Mazoezi ya pamoja katika kambi yao iliyopo Uwanja wa ndani wa Taifa Dar es salaam leo.(Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com).
No comments:
Post a Comment