Rais Jakaya Kikwete akiongea na mabalozi aliowakaribisha katika tafrija ya Mwaka mpya - Sherry Party - Ikulu jijini Dar es salaam leo.
Rais Jakaya Kikwete katika picha ya pamoja na mabalozi katika tafrija ya mwaka mpya - Sherry Party - Ikulu jijini Dar es salaam leo.
No comments:
Post a Comment