Friday, January 13, 2012

SHEREHE ZA MIAKA `48 YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR UWANJA WA AMAAN LEO

                                 Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na Balozi wa Marekani nchini.
                      JK akisalimiana na makamu wa kwanza wa Rais Maalim Seif Shariff Hamad
         JK akisalimiana na Waziri Kiongozi Mstaafu Mh Ramadhani Haji Fakhi. Picha na IKULU.
Kikosi cha Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) wakipita mbele ya Jukwaa Kuu na kutoa heshima kwa mgeni rasmi.

             Kikosi cha Polisi wakipita mbele ya Jukwaa Kuu na kutoa heshima kwa mgeni rasmi.
Kikosi cha kutuliza ghasia FFU, kikipita mbele ya Jukwaa Kuu kwa mwendo wa haraka na kutoa heshima kwa Mgeni rasmi.
Kikosi cha Wanajeshi waenda kwa miguu, kikipita mbele ya Jukwaa Kuu na kutoa heshima kwa mgeni wa rasmi. Picha na Muhidin Sufiani-OMR.

No comments:

Post a Comment