Wednesday, January 4, 2012

RAIS JAKAYA KIKWETE AONGOZA MAZISHI YA BALOZI ATHUMANI MHINA KIJIJINI MNYUZI, KOROGWE, MKOANI TANGA LEO!

Rais Jakaya Kikwete akiwa na Rais Mstaafu Mh Benjamin Mkapa, Waziri Mkuu Mstaafu Mh Frederick Sumaye, Makamu wa Mwenyekiti wa CCM Bara Mh Pius Msekwa na wao mbolezaji wengine kwenye mazishi ya Mwenyekitiwa Jumuiya ya Wazazi Taifa Balozi athumani Mhina kijijini Mnyuzi, Korogwe, mkoani Tanga leo Jumatano January 4, 2012

                                                Rais Kikwete akiweka udongo kaburini
                                 Rais Mstaafu Benjamin Mkapa akiweka udongo kaburini
                               Rais Kikwete akiongozana na viongozi wengine kuelekea kaburini
                                                        Huzuni kubwa msibanI. PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment