Thursday, January 19, 2012

MAMBO YAANZA KUPAMBA MOTO ONYESHO LA LADY IN RED 2012 (MAREKEBISHO YA TAREHE NI FEBRUARI 10, 2011!

Mbunifu wa mavazi mama Asia Idarous (wa pili kulia) wa Fabak Fashion ambaye pia ni muandaaji wa onyesho la Lady and Red akiwa pamoja na wabunifu wenzake wa mavazi na wanamitindo watakaoshiriki katika onyesho la Lady in Red 2012 Reloaded linalotarajiwa kufanyika Februari 2, 2011 katika hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam. Onyesho hilo linatarajiwa kuwakutanisha wabunifu wapatao 25 ambao wataonyesha mavazi yao.
Mbunifu wa mavazi mama Asia Idarous (wa pili kushoto) akiwa pamoja na wabunifu wenzake wa mavazi watakaoshiriki katika onyesho la Lady in Red 2012 Reloaded linalotarajiwa kufanyika Februari 2, 2011 katika hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam.
Mmoja ya wabunifu wa mavazi akimpima Mwanamitindo watakaoshiriki katika onyesho la Lady in Red 2012 Reloaded linalotarajiwa kufanyika Februari 2, 2011 katika hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam.
Mbunifu wa mavazi mama Asia Idarous (wa pili kushoto) akiwa pamoja na wabunifu wa mavazi watakaoshiriki kwa mara ya kwanza katika onyesho la Lady in Red 2012 Reloaded linalotarajiwa kufanyika Februari 2, 2011 katika hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam.
Mbunifu wa mavazi Gymkhana Hilali a.k.a Paka Wear akiongea na wanamtindo watakaoshiriki katika onyesho la Lady in Red 2012 Reloaded linalotarajiwa kufanyika Februari 2, 2011 katika hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam. Onyesho hilo linatarajiwa kuwakutanisha wabunifu wapatao 20 ambao wataonyesha mavazi yao. (Picha zote na C. A. Kajuna, www.kajunason.blogspot.com).

No comments:

Post a Comment