Thursday, January 19, 2012

JK AONGOZA MAMIA KATIKA MAZISHI YA REGIA MTEMA MJINI IFAKARA!

Rais Jakaya Kikwete akiweka sahada la maua kwenye kaburi la aliyekuwa Mbunge wa Kilombero Viti Maalum Chadema Marehemu Regia Mtema aliyefariki dunia kutokana na ajali ya gari hivi karibuni.

Rais Jakaya Kikwete akiweka udongo kama ishara ya kuzika kwenye kaburi la aliyekuwa Mbunge wa Kilombero Viti Maalum Chadema Marehemu Regia Mtema aliyefariki dunia kutokana na ajali ya gari hivi karibuni.
Rais Jakaya Kikwete akiwa na Spika wa Bunge Anne Makinda, Naibu Spika Job Ndugai na Hawa Ghasia(Kulia), Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Joel Bendera na Mwenyekiti wa Chadema Taifa Freeam Mbowe na Zitto Kabwe wakati wa mazishi ya aliyekuwa Mbunge wa Kilombero Viti Maalum Chadema REGIA MTEMA.

Rais Jakaya Kikwete akiwa na Spika wa Bunge Anne Makinda, Naibu Spika Job Ndugai
(Kulia), Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Joel Bendera na Mwenyekiti wa Chadema Taifa Freeam Mbowe wakati wa mazishi ya aliyekuwa Mbunge wa Kilombero Viti Maalum Chadema REGIA MTEMA. PICHA NA IKULU.

No comments:

Post a Comment