Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akifunua Kitambaa ikiwa ni Ishala ya kuzindua rasmi Jengo jipya la Makao Makuu ya Polisi lililopo eneo la Dunga, Wilaya ya Chake, Mkoa wa Kusini Pemba, jana Januari 5, 2012.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akikata Utepe kuzindua rasmi Jengo jipya la Makao Makuu ya Polisi lililopo eneo la Dunga, Wilaya ya Chake, Mkoa wa Kusini Pemba, jana Januari 5, 2012.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisikiliza maelezo kutoka kwa Kamishna Mkuu wa Polisi Zanzibar, Mussa Ali Mussa, wakati akimuelekeza baadhi ya maeneo muhimu yaliyo ndani ya Jengo jipya la Makao Makuu ya Polisi, wakati wa uzinduzi wa jengo hilo uliofanyika jana Januari 5, 2012, eneo la Dunga, Wilaya ya Chake, Mkoa wa Kusini Pemba, jana Januari 5, 2011.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisoma hotuba yake wakati wa uzinduzi wa jengo jipya la Makao Makuu ya Polisi uliofanyika jana Januari 5, eneo la Dunga, Wilaya ya Chake, Mkoa wa Kusini Pemba. Picha na Muhidin Sufiani-OMR.
No comments:
Post a Comment