Thursday, January 19, 2012

JK KATIKA MSIBA WA MAREHEMU JEREMIAH SUMARY JIJINI DAR ES SALAAM LEO!

Jakaya Kikwete Akimpa pole mjane wa Marehemu Jeremia Sumary, Mbunge wa Arumeru na Naibu Waziri wa Fedha wa wa zamani aliyefariki leo asubuhi jijini Dar es salaam. Hapa ni nyumbani kwa marehemu, Mbezi Beach, Dar es salaam jioni hii.
                                 Rais Jakaya Kikwete akiweka sahihi kitabu cha maombolezo.
Jakaya Kikwete akiongea na ndugu wa marehemu pamoja na Spika Anne Makinda na Mbunge wa Monduli Mh Edward Lowassa ambaye ni mzazi wa binti aliyeolewa na mtoto wa marehemu Sumary.
                                            Rais Jakaya Kikwete akitoa pole kwa wafiwa.

No comments:

Post a Comment